ads

Breaking News

Mark Zuckerberg kuwapa maskini asimilia 99 ya share zake za Facebook

Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg jana ametangaza kuwa ataitoa asilimia 99 ya share zake katika mtandao huo wenye thamani ya dola bilioni 45 kwa maskini na mahitaji muhimu ya binadamu.
1201-mark-zukerberg-baby-facebook-4
Mwenyekiti huyo mtendaji wa Facebook alitangaza hatua hiyo kwenye barua kwa binti yake aliyezaliwa wiki hii, Max.
Zuckerberg na mke wake Priscilla Chan, walianzisha taasisi ya Chan Zuckerberg Initiative kwaajili ya kusaidia elimu, kutibu maradhi na kuunganisha watu. Katika maamuzi yake hayo, Zuckerberg atakuwa akitoa si zaidi ya dola bilioni moja kila mwaka kwa kazi hiyo.
Hii ndio barua yake:
Today your mother and I are committing to spend our lives doing our small part to help solve these challenges. I will continue to serve as Facebook’s CEO for many, many years to come, but these issues are too important to wait until you or we are older to begin this work. By starting at a young age, we hope to see compounding benefits throughout our lives.
As you begin the next generation of the Chan Zuckerberg family, we also begin the Chan Zuckerberg Initiative to join people across the world to advance human potential and promote equality for all children in the next generation. Our initial areas of focus will be personalized learning, curing disease, connecting people and building strong communities.
We will give 99% of our Facebook shares — currently about $45 billion — during our lives to advance this mission. We know this is a small contribution compared to all the resources and talents of those already working on these issues. But we want to do what we can, working alongside many others.

No comments