ads

Breaking News

Chris Brown kuchangia dola 1 kwa kila nakala ya album yake ‘royalty’ kwa watoto

Ikiwa zimebaki wiki mbili kuachia album yake mpya, Chris Brown amesema kuwa atachangia kwenye mfuko wa watoto kiasi cha dola moja kutoka kwenye mauzo ya kila nakala ya album yake, ikiwa ni sehemu ya kurudisha kwa jamii mwisho huu wa mwaka.
breezy-smile
Kupitia mitandao ya kijamii Breezy aliandika,
“The holidays are all about giving back, so this Christmas, from now until Christmas, if you order the album, pre-order the album, one dollar of every album sold will go to Childrens Miracle Network hospital.”
‘Royalty’ ni album ya 7 ya Chris Brown ambayo imepangwa kutoka Desemba 18 mwaka huu.

No comments