ads

Breaking News

Khloe Kardashian azungumza kwa mara ya kwanza toka Lamar Odom apate matatizo

Mdogo wake Kim Kardashian, Khloe amevunja ukimya na kuzungumza kwa mara ya kwanza toka aliyekuwa mume wake, mcheza kikapu wa Marekani Lamar Odom kupata matatizo ya afya baada ya kudaiwa kutumia kiasi kikubwa cha Cocaine.
Khloe-Lamar
Khloe ambaye amekuwa hospitali akimuangalia Lamar muda mwingi toka alipolazwa, ametumia website yake kuwashukuru mashabiki, marafiki na familia kwa support yao kwenye kipindi hicho kigumu.
Hiki ndicho alichoandika Khloe;
The past week has been incredibly difficult. I am so thankful to family, friends, and fans, who have sent nothing but prayers and well wishes to Lamar. I also want to take a moment to thank everyone at Sunrise Hospital, including the amazing doctors and nurses for their kindness and diligent work. Under their amazing care, incredible strides have been made. You can never be prepared for an experience like this, but without the outpouring of love and endless prayers that Lamar has received and the strength I was given from my loved ones, it would have been difficult to endure. Thank you for your continued support. God is great!!!

October 19 Lamar ambaye kwa sasa afya yake imeanza kuimarika kiasi, alihamishwa kutoka hospitali ya Las Vegas alikokuwa amelazwa na kupelekwa Cedars-Sinai Hospital iliyoko Los Angeles akiwa na Khole. Huko anatarajiwa kupata matibabu mazuri zaidi.

No comments