ads

Breaking News

‘If You’re Reading This It’s Too Late’ Ya Drake Yawa Mixtape/Album Ya Kwanza 2015 Kwenda Platinum

drake back to back
Mauzo ya mixtape ya Drake iitwayo “If You’re Reading This It’s Too Late” yamefikia mauzo ya Platinum, na kuwa album/mixtape ya kwanza iliyotoka mwaka 2015 kwenda platinum.
Mixtape hiyo ambayo ilitoka kwa mtindo wa kushtukiza imefanikiwa kupita mauzo ya nakala milioni moja nchini Marekani hadi kufikia wiki ya August 7. Imeuza nakala milioni 1.007.
Mafanikio ya “IYRTITL” yalianza kuonekana wiki ya kwanza tu ilipotoka mwezi February mwaka huu, baada ya kukamata namba 1 kwenye Billboard 200.
Drake amewashukuru mashabiki wake Instagram kwa kuandika “Platinum off the tape. Views up next. Thank you you once again

No comments