ads

Breaking News

Chris Brown achukizwa na comment ya Marques Houston kwenye picha ya Karruache


Chris Brown anatamani Karrueche Tran aishi bila mwanaume mwingine katika maisha yake yote!
11906238_472858342875683_1126756620_n
Muimbaji huyo alitupia comment kwenye picha ya ex wake huyo kwenye Instagram baada ya msanii mwenzake, Marques Houston kusifia umbo la mrembo huyo.

Tran aliweka picha hiyo akiwa na bikini tu pembeni ya bwawa la kuogelea ambayo ilimdatisha Houston aliyeigiza kwenye kipindi cha TV cha Sister, Sister na kuandika: dizayum look at all that booty, can’t even see your face cuz that booty in the way.”
11375798_440159602838136_305202016_n
Brown hakufurahishwa na maneno ya Houston na hivyo na kuandika: Go Home Rodger!!” Brown aliandika jina hilo kumaanisha uhusika wa Houston kwenye kipindi hicho cha TV aliyekuwa akijulikana kama Roger.
Hata hivyo mtandao wa TMZ umedai kuwa Houston amepata vitisho vya kuuawa kutoka kwa rafiki wa Brown.
Mtu huyo ambaye TMZ imedai kuwa ni member wa kundi la wahuni alipost picha ya bunduki na onyo kwa Houston kumtaka amheshimu Karrueche hata kama hana uhusiano tena na Chris.
Houston hajajibu vitisho hivyo moja kwa moja zaidi ya kuandika kwenye Twitter:

No comments