ads

Breaking News

Rais Barack Obama afungua akaunti ya Twitter binafsi, @POTUS


rtx1cn4w


Barack Obama sasa ana akaunti binafsi na rasmi ya Twitter.


Akaunti hiyo ilifunguliwa May 18 kwa jina la @Potus.
 Hadi sasa ina followers milioni 2.17.

No comments