ads

Breaking News

Video: Madonna ampiga denda Drake live jukwaani

Shangwe nyingi zilisikika kutoka kwa maelfu ya watazamaji baada ya Madonna (56) kuusogelea mdomo wa Drake (28) na kuanza kumla denda (French Kiss) kwa sekunde 8 live jukwaani, usiku wa Jumapili April 12 kwenye tamasha la Coachella.
Baada ya kiss hiyo Madonna ambaye ndio alikuwa amemaliza kuimba alisema “I’m Madonna, b*tch,” huku akiondoka jukwaani na kumuacha Drake ambaye sura yake ilionekana kama ametoka kula kitu kilichooza na kusikika akisema “What the f— just happened?” huku akicheka.
Drake na Madonna-2

No comments