ads

Breaking News

Jay Z kufanya show maalum kwaajili ya wateja wa mtandao wake wa Tidal


jay-z-b-sides

Jay Z anafanya kila jitihada kuhakikisha anapata wateja wengi zaidi kwenye mtandao wake wa kustream muziki wa Tidal.


Kwa heshima ya mtandao huo, Jay Z ameandaa show maalum iitwayo ‘TIDAL X: Ja├┐-Z B-Sides’ kwaajili ya members wa Tidal.
Kwenye show hiyo ya May 13 jijini New York, Jay atatumbuiza nyimbo ambazo hajawahi kuzitumbuiza live au kutumbuizwa ndani ya muongo mmoja.
Watumiaji wa TIDAL wanaweza kushinda tiketi ya kuingia kwenye show hiyo kwa kutengeneza playlist kwenye Twitter kwa kutumia hashtag #TIDALXJAYZ.
Tangu kuanzisha kwake, mtandao huo umekuwa ukikoselewa na baadhi ya watu kiasi cha hivi karibuni Jay Z kuitetea kwa kutweet maelezo kupitia Twitter.
“Tidal is doing just fine. We have over 770,000 subs. We have been in business less than one

No comments