ads

Breaking News

Video: Snoop Dogg atua kwenye mieleka akiwa na Hulk Hogan

hogan-snoop

Snoop Dogg aka SnoopMania alitinga kwenye ulingo wa mieleka ya WWE Jumatatu hii.

Rapper huyo aliungana na mcheza mieleka mkongwe, Hulk Hogan ili kuchuana na Curtis ‘AxelMania’Axel ambaye alikuwa akimtania kwenye mitandao ya kijamii.

No comments