ads

Breaking News

Mirror aifuata elimu ya muziki Bagamoyo

Mirror
Msanii wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Mirror ameamua kurudi shule kusomea muziki.

Mirror anasoma kwenye chuo cha sanaa kilichopo Bagamoyo.
“Mbali na kufanya muziki mimi nasoma, nasoma muziki pia. Nasoma muziki Bagamoyo. Ndio kwanza nimeanza I am A beginner kabisa kwa sababu sina kipindi kirefu toka nimeanza. Kuna vitu nataka kujua kwa sababu ya muziki,” Mirror aliiambia Global TV.

No comments