ads

Breaking News

Lil Wayne atoa shavu kubwa Big Sean.

bsean
Ikiwa leo ni siku yake ya kuzaliwa rapa Big Sean amesema maneno ya rapa Mwezake Lil Wayne kuhusu maisha yake ya muziki yamempa nguvu sasa,
Big Sean anasema alivyokuwa studio na Lil Wayne, rapa huyo alimwambia “Big Sean ni msanii mzuri na anabaniwa sana sabau hana tabia walizo nazo rapas wengine kama kuwa na  tattoo na ishara nyingi za vidole, Big Sean ni msanii wa kipekee kwenye rapa ”
Big Sean anasema Wezzy alikuwa hana haja ya kunipa sifa kwani mimi sio msanii wake na sitengenezi pesa yeyote na yeye zaidi ya collabo zetu tulizofanya

No comments