ads

Breaking News

Baada ya miaka 5,Ludacris arudi mitaani kufanya video mpya ‘Call Ya Bluff’ itazame hapa

ludacris-cyb
Siku sita kabla album yake mpya Ludaversal  kuingia mtaani Ludacris ametoa video mpya “Call Ya Bluff” iliyofanyika kwenye mitaa ya kawaida.
Ludaversal ni album yake mpya inayotoka baada ya ukimya wa miaka mitano na wameshirikishwa wasanii Usher, Big K.R.I.T. na Miguel.


No comments