ads

Breaking News

Picha: AY na Rich Mavoko watua Uganda kumsupport Jose Chameleone kwenye show yake ya 1 Man, 1 Show, 1 Million

1 million chameleone
Hatimaye siku ya ile show ya mkali wa Afrika Mashariki Jose Chameleone ambayo ilianza kufanyiwa maandalizi na matangazo kwa miezi mingi iliyopita imewadia.
AY na Rich Mavoko ni miongoni mwa wasanii kutoka Tanzania ambao tayari wamewasili jijini Kampala, Uganda kwenda kumsupport Chameleone kwenye show hiyo itakayofanyika Dec 18.
AY - Uganda
Chameleone alipost picha ya wabongo ambao tayari wametua Uganda tayari kwa show hiyo akiwemo AY na kuandika:
Ay - ug
Siku tatu zilizopita Chameleone aliandika kuhusu ujio wa Rich Mavoko kwenye show yake:
“Charge up for the ONE MILLION NIGHT EXPERIENCE 18th December @ The Victoria Hall Serena, Kampala. @richmavoko Sign in!!!”
Mavoko
Rich Mavoko naye alipost picha akiwa kwenye ndege jana (Dec. 17) na kuandika:
“@jchameleone am coming bro Tz twapenda mziki mzuri #uganda Naja..”

No comments