ads

Breaking News

Picha: Ommy Dimpoz kuachia video ya ‘Tupogo Remix’ Ijumaa hii (Nov. 28)

IMG-20141127-WA0003
Ommy Dimpoz anatarajiwa kuachia video ya hit single yake ya mwaka jana ‘Tupogo’, lakini hii ni Remix ambayo imepigwa katika mtindo mwingine.
Jokate ndiye ‘mpenzi’ wa Ommy Dimpoz kwenye video hiyo iliyoongozwa na Adam Juma.
IMG-20141127-WA0002
“Umeshawahi kuona Mahaba ya Mswahili kwenye Treni? Subiri kesho ujionee kwenye – TUPOGO REMIX out tomorrow”- Ommy Dimpoz

No comments