ads

Breaking News

Picha: Diamond na Zari the Boss Lady wafanya kweli!

image
Diamond Platnumz na mfanyabiashara mrembo na muimbaji wa Uganda, Zari the Boss Lady hawakuishia kusafiri tu kwenye ndege na siti moja kutoka Afrika Kusini. Ukweli ni kuwa walikuwa wamepanga kukutana.

Ni movie inaendelea? Diamond na Zari
Picha za wawili hao wakiwa nje ya hoteli ya Double Tree jijini Dar zinawaonesha wakifurahia muda wa faragha pamoja kama wapenzi vile.
image
Maswali yanayozunguka kwenye vichwa vya wengi ni je wawili hao ni item tayari au ni movie inaendelea kama apendavyo kusema hitmaker huyo wa Number 1?
image
Tayari mashabiki wameanza kuhusi kuwa kuna uhusiano mpya uliozaliwa kati ya mastaa hao ambapo katika picha moja Zari aliandika: Don’t live your life enslaved by guilt. You must do what is right for you, even if other ppl have a problem with it. #Diamonds #MummyFabulousSelf.” Wengi walihitimisha kuwa amemaanisha bae wake huyo mpya na hivyo kumlazimu kufafanua: For fucks sake I meant #Diamonds as in my stones 💍💍💎💎… Y’all african people be tripping #IdleMinds.”
“Awwwwwwwwwwwww kila la kheri  @diamondplatnumz follow what your heart say n you have to live your life wish you all the best with your new bae if it is true @zarithebosslady,” ameandika mtu mmoja.
Hata hivyo baada ya maswali mengi, Zari aliamua kufumbua fumbo kwa kupost picha hiyo chini.
image
Zari aliandika: Thank you @diamondplatnumz for this opportunity. Africa get ready for our new project #uganda #Tanzania
Hizi ni baadhi ya picha zao wakiwa JNIA.
image
image
image

No comments