ads

Breaking News

New Music Video: P-Square washerehekea birthday yao kwa kuachia video mpya ‘Shekini’

Peter na Paul Okoye wa kundi la P-Square leo Nov.18 wanatimiza umri wa miaka 33, na katika kusherehekea siku yao ya kuzaliwa ambayo inaenda pamoja na maadhimisho ya ndoa ya Peter, mapacha hao wametoa video ya single yao ‘Shekini’ ambayo inapatikana katika album yao ya sita ‘Double Trouble’.
Video hii imeongozwa na director maarufu wa Nigeria Clarence Peters. “Today is that day, a day to celebrate life. We have had tragedy and happiness like everyone…We are thankful for another year. We are blessed and we thank God for his blessings in our lives. Many thanks to the people who have always bin there for us. WE LOVE YOU ALL…happy birthday to us” Paul ameandika Facebook

No comments