ads

Breaking News

Ipo taarifa mpya kuhusu mastaa Chris Brown na Karrueche.. Hii inahusu ujauzito


Chris & Karue 
Chris Brown ameendelea kuwa mmoja ya mastaa wanaozungumziwa zaidi kwenye mitandao, ambapo ni siku moja tu imepita tangu azungumzie kuhusu mahusiano yake na wasanii wenzake Rihanna na Drake, leo amekaa kwenye headline nyingine ambapo kinachozungumziwa ni kuhusu ujauzito wa Karrueche.

Picha iliyoenea mitandaoni inamuonyesha Chris, Karrueche na mshkaji wao mmoja ambaye aliweka picha hiyo kwenye ukurasa wa Instagram akiwa ameweka mkono wake tumboni kwa Karrueche kama namna ya kushiria ujauzito, halafu zikafuatia comment nyingi za pongezi toka kwa fans wao.
Wawili hao hakuna ambaye ameweza kuzungumzia kama kuna ukweli wowote kuhusu ujazito huo.
Chris & KaruNitaendelea kukupatia

No comments