ads

Breaking News

BadGalRiri (Rihanna) arejea Instagram, ni baada ya miezi 6!

She’s back! After a six-month absence, Rihanna has returned to Instagram.

10735199_865418323498640_2135625987_n
Baada ya kuwa kimya kwa miezi sita, Rihanna amerejea tena kwenye mtandao wa Instagram.
Picha ya kwanza ya Rihanna kwenye Instagram baada ya kukaa kimya kwa miezi 6
“Hellurrr #badgalback,” aliandika kwenye picha hiyo.
Akaunti yake ilisimamishwa mwezi May baada ya kupost picha akiwa mtupu kutoka kwenye kava la jarida la Ufaransa, Lui. Picha hiyo ilikiuka masharti ya mtandao huo.

No comments