ads

Breaking News

Wyre apewa haki za kuirudia ‘Inde Monie’ na Kanda Bongo Man

Wyre na Bongo ManMuimbaji wa dancehall, Wyre aka The Love Child kutoka Kenya amesema amepewa haki za kuirudia hit song ya mkongwe wa Soukous kutoka DRC, Kanda Bongo Man iitwayo ‘Inde Monie’.Wyre ameiambia GHAFLA kuwa tayari ameachia audio ya ‘Inde Monie’ (rendition) na hivi sasa yuko kwenye mipango ya kutoa video.

“Kanda Bongo Man alinipa haki za kuurudia wimbo wake miezi kadhaa iliyopita tulipokuwa tukitumbuiza Juba”.

No comments