ads

Breaking News

Wema Sepetu: Kissing on the lips kwa girls to girls is very very okay, I kiss my mama, I kiss my sister kwenye lips

huuu
Baada ya picha inayomuonesha Wema Sepetu akibusiana na Aunt Ezekiel kwenye Lips kuleta hisia tofauti kutokana na kitendo hicho kutozoeleka kufanywa na watu wa jinsia moja,
Wema amesema “Yes I kissed her”, na kusema kuwa hufanya hivyo hata kwa watu wengine wa jinsia yake ambao yuko nao karibu.“It is not only her, I Kiss my daughter, I kiss my sister, I kiss just people who are close to me”.Amesema kupitia Power Jams ya EA Radio.
Mpenzi huyo wa Diamond ameendelea kujitetea kwa kitendo hicho kwa kusema kuwa ni jambo la kawaida kwa wasichana waliokaribu kubusiana kwenye lips na kuongeza kuwa hubusiana hata na mama yake na dada yake kwenye lips.
“Kissing on the lips kwa girls to girls is very very okay, it is not okay kwa men to girls or men to men, kwa girls to girls kama you guys are like really close and you are attached, because I kiss my mama, I Kiss my sister kwenye lips “.

No comments