ads

Breaking News

video::Umepata alichokisema Ommy Dimpoz kuhusu ile picha yake iliyosambaa?


http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2014/04/Ommy-new-2.jpgNajua kama umekua karibu na mitandao ya kijamii kuanzia weekend iliyopita sanasana kwenye twitter na instagram utakua ulikutana na picha ya zamani ya Ommy Dimpoz aliyoipiga Kigoma ambayo ilisambaa kwenye mitandao ya kijamii bila ya idhini yake.

Ommy Dimpoz ni mmoja wa wakali watakaopanda kwenye stage ya Fiesta Jumamosi hii Leaders Dar es salaam, unajua ni nini alichokisema baada ya kukutana na

No comments