ads

Breaking News

Video: Wizkid azungumzia collabo yake na Chris Brown ‘African Bad Girl’, pia kufanya video na Tyga

Wiz and Chris
Japokuwa Wizkid alishathibitisha kupitia Twitter kuwa amefanya collabo na staa wa R&B Chris Brown wa Marekani, staa huyo wa Nigeria amezungumzia collabo hiyo alipofanya mahojiano na DJ Abrantee wa Capital Xtra ya Uingereza Jumamosi iliyopita.
Wizkid ambae amekua na urafiki na Breezy toka walipokutana na kutumbuiza pamoja Nigeria na Ghana miaka miwili iliyopita, amesema hivi karibuni alikutana nae L.A, Marekani na kufanikiwa kurekodi nae wimbo uitwao ‘African Bad Girl’. “When I went back in L.A he jumped on one of my tracks..its actually a new one…its called ‘African Bad Girl’”.
Wizkid-Chris-Brown
Wizkid ameongeza kuwa ‘African Bad Girl’ ft. Chris Brown ndio itakuwa single ya kwanza kutoka kwenye album yake ijayo, na kuongeza kuwa kwasasa wako mbioni kufanya video ya wimbo huo pamoja na video ya wimbo mwingine ‘Show You The Money’ aliomshirikisha staa mwingine wa Marekani, Tyga.

“Big shout out to Chris Brown you know like aah he came for a show in Lagos he brought me out as a surprise, we did the same thing in Ghana you know we have just been friends since then he has been showing me love you know, when I went back in L.A he jumped on one of my tracks..its actually a new one…its called ‘African Bad Girl’. Thats actually the first single of the next album..so we just trying do that video then am shooting the video for ‘Show you the money video’ ft. Tyga as well”.

No comments