ads

Breaking News

Victoria Kimani afanya collabo na Wizkid

10632439_345561215622394_685633522_n
Msanii wa Chocolate City, Mkenya Victoria Kimani ameingia studio kurekodi na wimbo na staa wa Nigeria, Wizkid. 

Wizkid ameshare picha kwenye Instagram akiwa na mrembo huyo na kuandika: Studio with my g @victoriakimani !! Lagos to Nairobi!

No comments