ads

Breaking News

Unapenda Buti Za Timberland,Hichi Kipya Kutoka Kwao

timber 2
Wanasema ni imited edition collection, Timberland wametoa Super Boot ambayo toleo lake la kwanza lilikuwa mwaka 1979 kupitiaHazel Highway collection.
Tofauti ni kuwa kiatu hichi sasa kimetengenezwa kwa ngozi nzito na ngumu zaidi. Timberland imeshirikiana na KnowUsena Street Etiquette kukuletea buti hili ambalo liligunduliwa miaka 35 iliyopita.
timber 3 timber 4 timber 5 timberS

No comments