ads

Breaking News

Trending: Video ya Michelle Obama akicheza/kuimba ‘Turn Up for What’ ya Lil Jon

michelleobamaturnipvine 

Video ya First Lady wa Marekani Michelle Obama akicheza wimbo wa Lil Jon ‘Turn Up For What’ akiwa ameshika tunda la ‘turnip’ imekuwa gumzo mtandaoni baada ya kuweka kwenye akaunti ya mtandao wa Vine wa Ikulu. Jionee.

 

No comments