ads

Breaking News

Staa wa bongofleva Steve RNB ameoa!! unazitaka picha zote kuanzia kanisani mpaka ukumbini? ziko hapa


wpid-img_20741
Ni staa wa bongofleva ambae hits zilizompa headlines ni pamoja na ‘Tabasamu‘ aliyoshirikishwa na Mr. Blue October 11 2014 amefunga ndoa kwenye kanisa la Word Alive Sinza Mori Dar es salaam….

Yafuatayo ni mambo matano kuhusu Steve na mke wake Easter.
1. Steve ana umri wa miaka 28 na mke wake Easter ana umri wa miaka 25.
2. Wawili hawa walianza kuwa pamoja kwenye uhusiano wa kimapenzi toka wakiwa High School miaka nane iliyopita shuleni St. Mathew kisha walikwenda wote chuo IFM na kusoma pamoja.
6 
3. Steve amemsifia sana mke wake kwa kuwa mvumilivu na kuhimili vitu vingi alivyomkosea kwenye maisha ya ujana ikiwemo kutoka nje ya uhusiano wa kimapenzi.
4. Amesema hajachelewa kuoa wala hajawahi kuoa, yaani huu ndio umekua muda muafaka kwake kufanya maamuzi haya kwa sababu anaamini ndoa inatakiwa uanze kuenjoy ukiwa na umri kama huu.
5. Steven amekiri kumekuwepo na time za huzuni na furaha kwenye uhusiano wao wa kimapenzi, kipindi kirefu walichowahi kukaa bila kushemeshana ni zaidi ya wiki moja…. wamekua wakigombana lakini Steve hajawahi kutamka neno ‘It’s over’
8
9
10
11
13
14
15
Wa kwanza kwenye huu mstari wa mbele ni Askofu Deo Lubala wa kanisa analosali Steve, Word Alive Sinza Mori.
16
17
18
19
Mchungaji Moses wa Word Alive ndio alifungisha ndoa.
20
26
27
28
29
30
31
10
9
34
37
38
39
40
15
17
17
29
28
26
25
24
22

No comments