ads

Breaking News

Picha Za Ay Kwenye Video Shooting Marekani, Pia Anafanya Wimbo Na Msanii Mwingine Mkubwa Akiwa Huko.

AY-US2

Ay amekamilisha utengenezwaji wa video yake nchini Marekani aliyofanya na msanii Sean Kingston. Kwenye interview niliyofanya nae Ay anasema "Nimepokea ushirikiano mzuri kutoka kwa Sean kingston na Mama yake pia amenipa ushirikiano, video tumemaliza na inatoka November, ukiacha video nina mpango wa kurekodi wimbo na msanii mkubwa hapa Marekani ambaye siko tayari kumtaja sasa"

No comments