ads

Breaking News

Picha: AY akamilisha kushoot video na Sean Kingston Marekani

AY-US2

AY amesema baada ya video hiyo huenda akafanya nyingine tena.

“Shooting ilienda vizuri tulifanya fresh yaani kila kitu kilienda vizuri kabisa. Hakuna ugumu wowote akina Trinity akina Sean Kingston, kuna jamaa wa New Boys jamaa fulani wanahit huku, kuna video wamefanya na jamaa fulani ina view milioni 32, so ni jamaa wakubwa huku nao pia walikuja wakashow love pale,” AY ameiambia Bongo5.

10735463_368657469962806_631229743_n
Ms Triniti, AY na Sean Kingston
“Kuna actor mmoja mzungu naye pia alishow love, kwahiyo natarajia itakuwa bonge la video,” ameongeza.
“Kingine kwa sasa hivi nataka kufanya recording nyingine na artist wengine ambao sitakiwi kuwaweka wazi sasa hivi. La msingi ninaendelea kufanya kazi huku na ninaweza nikashoot na video nyinge tena halafu ndo nirudi Tanzania.”
Hizi ni picha zingine za AY akishoot video hiyo.
10731919_806653072710435_82368948_n10706936_1477450815869078_468163395_n10724711_335983979912689_1987114471_n

No comments