ads

Breaking News

New Music Alert: Studio 4.12 f/ Belle 9, Blue, Young D, Nyandu, Barakah Da Prince & PTheMC

10724229_1511672785741427_580550512_n
Dully Sykes ameamua kuwakusanya wadogo zake kimuziki kupitia studio yake, 4.12 na kutengeneza wimbo wa pamoja.
Kwenye ngoma hiyo iliyotayarishwa na yeye mwenyewe Dully Sykes katika studio zake za 4.12, zaidi ya wasanii watano wameshirikishwa.
Wasanii hao ni pamoja na Nyandu Tozi, Belle 9, Mr Blue, Barakah Da Prince, Young Dee na PTheMC.

No comments