ads

Breaking News

Kanye West anataka mkewe Kim Kardashian na Beyonce wapatane!

KimKanye1Kanye West anataka mke wake Kim Kardashian na mke wa Jay Z, Beyonce Knowles wamalize tofauti zao.

Kwa mujibu wa Daily Express, rapper huyo ambaye ni rafiki wa Jay Z, amekuwa akijaribu kumfanya Kim awe na ukaribu na Bey.
1413128016021_wps_52_Beyonc_Knowles_and_Jay_Z_
Hata hivyo Kim anaamini kuwa Beyonce anataka wawe marafiki kwasababu anataka kitu kutoka kwake sasa. Beyonce na Jay Z hawakuhudhuria harusi ya Kim na Kanye kwakuwa walidhani ingeshusha hadi yao.
Pia ilidai kuwa Beyonce aliomba asikae karibu na Kim Kardashian kwenye tuzo za MTV VMAs.

No comments