ads

Breaking News

Fid Q anaamini Stamina ndio rapper mkali jukwaani kwa sasa

Fid Q na StaminaFareed Kubanda aka Fid Q anaamini kuwa Stamina ndiye rapper mkali zaidi jukwaani kwa sasa.


“Mimi sasa hivi nimekuwa shabiki wa Stamina, tangu Fiesta imeanza mpaka lipofikia hapa wasanii wengi wanafanya vizuri lakini Stamina anafanya vizuri zaidi,” alisema.
“Kwenye ukweli huwa nasema ukweli hiyo ndio Hip Hop, reality au uhalisia. Unajua tunasemaga tunawalisha uhalisia ili waucheuwe uhalisia wa mambo, ndo Hip Hop ilivyo. Huyu ni msanii tangu Fiesta inaanza mpaka inaisha hakuna hoo! sijui nilikuwa nimelala nimechelewa kupandishwa, sijui nimepandishwa mwisho huyu guarantee nasepa na kijiji.”

No comments