ads

Breaking News

Amber Rose Ataonekana Kwenye Cover La Jarida La Oyster La Australia,Hizi Picha Akiwa Na Model Wa Kiume.

 
Kwa mujibu wa vitabu vingi vya mapenzi wanasema ni muhimu kuwa na kitu cha kufanya kitakacho kuondolea mawazo ya kimapenzi baada ya kutendwa au ndoa yakokuvunjika. Amber Rose ameonekana kuwa na mambo mengi sasa ya kufanya kama movie na matangazo ya bidha tofauti baada ya kutengana na mume wake Wiz Khalifa.
Hizi ni picha akiwa kwenye Photo Shot ya cover la jarida la Australia la Oyster .


No comments