ads

Breaking News

Wimbo mpya na wa kwanza wa Emmanuel Mbasha toka kuanza kwa kesi yake ya kubaka

Screen Shot 2014-09-09 at 1.29.37 PM 

Mpaka sasa wanandoa ambao ni Waimbaji wa nyimbo za Injili Flora Mbasha na Emmanuel Mbasha hawajarudiana na kuendelea kuishi pamoja toka ianze kesi ya kubaka inayomkabili Emmanuel ambae inadaiwa alimbaka mdogo wa Flora.
Pamoja na kwamba kesi yake inaendelea, Emmanuel ametoa wimbo wake mpya wa ambao ndio huu unaoweza kuusikiliza hapa chini.No comments