ads

Breaking News

Video: Mahojiano ya Diamond na Yemi Alade katika Coke Studio Africa

diamond n yemi
Diamond Platnumz na mwimbaji wa hit single ‘Johny’, Yemi Alade kutoka Nigeria jana (September 10) walifanyiwa mahojiano katika msimu wa pili wa Coke Studio jijini Nairobi na kujibu maswali mbalimbali yanayohusu muziki na maisha yao kwa ujumla. Kama hukupata bahati ya kutazama ‘live stream,’ tazama hapa mahojiano hayo.

No comments