ads

Breaking News

Video: Jose Chameleone atoa ujumbe kwa waliozusha kuwa mkewe Daniella kamkimbia baada ya kuchepuka


Jose and Daniella
Jose Chameleone wa Uganda amethibitisha kuwa ndoa yake iko salama baada ya mtandao wa UGO wa Uganda kuripoti kuwa mkewe Daniella ameondoka nyumbani baada ya Chameleone kuchepuka.
Mwimbaji huyo wa ‘Tubonge’ amepost video Instagram akiwa na mke wake Daniella huku akizungumza maneno haya:
Yoh, Professional Journalism, jifunzeni kuwa professional, huyu ni mke wangu, mali yangu ni mali yangu, mali yangu ni mali yangu, mwa mwa mwa mwa (akambusu) haters nendeni mkajinyonge, mxiuuuuu” (akasonya).

 
 Chini ya video hiyo akaandika:
“We are here to fulfill prophecies and we must be a testimony of God love. It’s pitiful that we have 
failed to learn to big up our own selves and instead stand high to disregard one another that’s the reason why Journalists are getting engaged with Artistes like you all know. I want to Clarify to where so ever the source is that Me and my Darling wife are a match made in Heaven and guarded by the Angels. Jealousy, hateful and envious ones please,Stuff your rubbish back into your mouth.”

No comments