ads

Breaking News

Video: Beyonce awaziba midomo waliokuwa wakidai hakubeba mimba ya Blue Ivy

jay-z-beyonce-article
Kuna swali zaidi? Kwa muda mrefu magazeti na blogs za udaku zimekuwa zikidai kuwa Beyonce hakubeba mimba ya Blue Ivy bali alikuwa akifeki tu na mimba kutungwa na mwanamke mwingine ambaye kitaalam huitwa surrogate au alipata kwa njia nyingine.
Lakini kwenye kipindi cha ‘On the Run Tour HBO special’, Bey, 33, amewanyamazisha wakosoaji baada ya kushare video aliyorekodi nyumbaji wakati akiwa mjamzito. Tazama video hiyo hapo juu.

No comments