ads

Breaking News

Tamasha la TribeOne la Afrika Kusini ambalo Nicki Minaj angetumbuiza laahirishwa

nicki_minaj_png_pack_by_anushka32-d5ajtpa

Tamasha la TribeOne ambalo lilikuwa lifanyike kwa siku tatu kuanzia September 26 huko Cullinan, Afrika Kusini limeahirishwa.Kwenye tamasha hilo lililokuwa linatarajiwa kuwa kubwa zaidi kuwahi kufanyika barani Afrika Nicki Minaj, Macklemore and Ryan Lewis, J Cole na Kid Ink walikuwa watumbuize pamoja na wasanii wengine wakubwa wa Afrika, akiwemo Alikiba.
Waandaaji wametaja sababu za kuahirishwa kwa tamasha hilo ni kuchelewa kukamilika kwa maandalizi ya sehemu ambapo lingefanyika.
“Site preparation and related infrastructure development required to host the Festival, being the responsibility of the CoT, fell behind schedule to a material extent, such that it was no longer realistically possible to stage and deliver the Festival to the scale and quality that the organizers had always planned. Under the circumstances, and despite efforts to seek alternative arrangements, the organizers have had no option but to cancel the event,” wameandika kwenye maelezo yake.
“TribeOne Festivals apologises to all of those who were looking forward to the Festival – both the ticket holders, and the international and local performing artists who were booked by TribeOne Festivals for the event. All ticket holders will be reimbursed, details of this process will be announced shortly.”

No comments