ads

Breaking News

Taarifa Za Msanii Mwingine Wa Bongo Fleva Kufariki Dunia.

sideTaarifa zilizonifikia muda huu ni kuwa msanii chipukizi kwenye muziki wa Bongo Fleva Side

Boyamefariki dunia.
Kwa mujibu wa mdogo wake Ally Khamis, anasema Kaka yao marehemu Said Salum Hemedy amefia Lindi kwenye hospitali ya Nyangao, Alikuwa akisumbuliwa na TB Ya mifupa.
Hii ndio video yake Hujafa hujaumbika,alifanya na Besti Naso.

No comments