ads

Breaking News

Shakira ni mjamzito tena… jinsia ya mtoto ajae yajulikana!

Screen Shot 2014-09-10 at 3.15.03 AM 

Ni kweli kwamba mwimbaji Shakira anatarajia kujifungua mtoto wake wa pili? jibu ni ndio… na hii imethibitishwa na mama yake mzazi.
Gazeti la Hola la Hispania limeripoti kwamba mama mzazi wa mwimbaji huyu ndio kaongea na kusema mjukuu wake ajae ni mtoto mwingine wa kiume.

 Screen Shot 2014-09-10 at 3.13.44 AM 

Shakira ana umri wa miaka 37 sasa hivi na siku yake ya kuzaliwa ni February 2… ni mke wa mchezaji staa wa soka Gerard Piqué ambapo huyu atakua mtoto wao wa pili baada ya yule wa kwanza wa kiume pia.
Shakira mwenyewe alitangaza kuwa na ujauzito wiki ile iliyopita akiwa bado kwenye ndoa na staa kutoka Barcelona FC Gerard Pique mwenye umri wa miaka 27.
 

Screen Shot 2014-09-10 at 3.14.00 AM

No comments