ads

Breaking News

Profesa Jay Kuzindua video mbili kwa mpigo Jumamosi hii

Rapper mkongwe Profesa Jay amepanga kuzindua video zake mbili kwa mpigo kwa mara ya kwanza, ‘Tatu Chafu’ na Kipi Sijasikia.

Rapper huyo atazindua video hizo Usiku wa Jumamosi hii katika ukumbi wa Ten Lounge, Dar es Salaam na amewaahidi mashabiki wake kuwa na surprise nyingi na performances kutoka kwake.
Video ya Kipi Sijasikia imeongozwa na Adam Juma wa Visual Lab, na 3 Chafu imeongozwa na Hefemi wa Hefemi Studios.

No comments