ads

Breaking News

Picha: North West ashuhudia fashion show ya Givenchy, Paris na wazazi wake (Picha)

1411934292736_wps_5_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
Ana miaka miwili tu, lakini North West ameanza kuhudhuria fashion show za kimataifa tena katika mstari wa mbele.
Weekend iliyoisha, mtoto huyo wa Kanye West na Kim Kardashian ameshuhudia cat walks za warembo mbalimbali akiwemo mama yake mdogo, Kendall Jenner kwenye Paris Fashion Week na pia kwenye show ya Givenchy jijini Paris, Ufaransa.
Hata hivyo katika picha nyingi, North alionekana kutofurahishwa na huenda alikuwa anataka kwenda kulala kama watoto wengine wa umri wake? Ni sawa kwa Kanye na Kim kumpeleka mtoto wao kwenye show za aina hiyo tena usiku kwa umri wake? Tazama picha hizi.
1411934421749_Image_galleryImage_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411934423177_wps_13_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411934462372_wps_16_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411939727625_wps_4_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411939731821_wps_5_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411939735099_wps_6_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411939848366_wps_8_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411939903003_wps_10_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411939928846_wps_11_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411939981262_wps_13_Kim_Kardashian_Kanye_West
1411939991515_wps_14_Kim_Kardashian_Kanye_West
1411940494777_Image_galleryImage_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411941494891_Image_galleryImage_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28
1411941508862_Image_galleryImage_PARIS_FRANCE_SEPTEMBER_28

No comments