ads

Breaking News

Picha: Kanye West na Kim Kardashian wauweka sokoni mjengo wao wa kifahari kwa $11 million

kk-10
Kanye West na mkewe Kim Kardashian wameliweka sokoni jumba lao la kifahari lililoko Los Angeles, Marekani walilolinunua mwaka jana.
Kimye walinunua jumba hilo January 2013 kwa $9 million na kutumia zaidi ya mwaka mzima kufanya ukarabati ambao umeishia njiani, na sasa wameamua kuiuza kwa $11 million ambayo ni zaidi ya shilingi bilioni 18.
Kim and Kanye
Kimye waliamua kununua mjengo mwingine ambao uko karibu na nyumba ya mama yake na Kim kwa $20 million. Tazama picha za mjengo huo
Kk1
kk-2
kk3
kk-3
kk-4
kk-5
kk-6
kk-7
kk-8

No comments