ads

Breaking News

P Square kuachia albam ya 'Double Trouble' September 12, watoa orodha ya nyimbo


Kundi la mapacha wa Nigeria, P-Square limetoa kava ya albam yao ya sita ‘Double Trouble’ na wameweka wazi kuwa albam hiyo itatoka September 12.
Katika albam hiyo wasanii wengi wakubwa wameshirikishwa akiwemo Awilo Longomba, T.I, Jermaine Jackson, Don Jazzy na Dave Scott.
Tayari wakali hao wameshatanguliza ngoma tatu kali kutoka kwenye albam hiyo ambazo ni pamoja Shekini, Ejeajo na Bring it On.

No comments