ads

Breaking News

Nick Cannon Ndio Super Star Aliyeripotiwa Kuvaa Kiatu Chenye Gharama Kubwa Zaidi Duniani.

Nick na kiatu_full

Nick Cannon ndio super star aliyeripotiwa kuvaa kiatu chenye gharama kubwa zaidi duniani.Nick amevaa kiatu hichi kwenye jukwa la fainali za kipindi cha kutafuta vipaji cha American’s Got Talent. Kiatu hichi chenye dhahabu na almasi kinathamani ya dola milioni 2.2.

Utafahamu kuwa Nick ni mume wa msanii Mariah Carey ambaye utajiri wake unakadiriwa kuzidi dola za Kimarekani milioni $510.
Sonara aliyetengeneza kiatu hicho anasema Nick alitaka kutengeneza historia kwa kuwa star wa kwanza duniani kuvaa kiatu chenye thamani ya dola milioni 2.2.
Mkonini Nick alivaa Rolex kali pia.
Nick na kiatu_full 2

No comments