ads

Breaking News

Neno la Davido kwa Wizkid na P Square kuhusu albam zao

Mwimbaji wa Nigeria Davido, ametumia akaunti yake ya Twitter kuufikisha ujumbe wake kwa wasanii wenzake Wizkid na P Square kuhusu albam zao.

Davido amewapongeza wasanii hao ambao albam zao zinafanya vizuri sana kwenye iTunes hivi sasa, Wizkid (AYO) na P Square (Double Trouble).


No comments