ads

Breaking News

Mr Blue kuanzisha ‘Micharazo Foundation’ kusaidia kukuza vipaji vya muziki

Mr Blue
Mr Blue aka Kabayser ameanzisha taasisi ya ‘Micharazo Foundation’ itakayoanza kupokea wasanii wapya na pia itakuwa sehemu ya kukuza vipaji vya wasanii wachanga.

Blueamesema kuwa kama yeye alisaidiwa na watu mpaka akafikia alipo sasa, yeye pia ana wajibu wa kufanya hivyo kwa watu wengine.

No comments