ads

Breaking News

Jason Derulo aweka wazi sababu za yeye na Jordin Sparks kuachana

derulo
Couple ya waimbaji Jason Derulo na Jordin Sparks ndio iliyoonekana kuwashtua zaidi wengi baada ya taarifa za kuachana kwao kusambaa, na hii inatokana na kuwa hapakuwahi kusikika hata taarifa za ugomvi baina yao.

Lakini Derulo ameweka wazi baadhi ya sababu za ndani zilizopelekea ‘mv mapenzi ‘ ya wawili hao kushindwa kuhimili mawimbi ya bahari ya mahaba, na kuamua kutia nanga kabla ya kufika safari yao waliyoianza miaka mitatu iliyopita.
Kizungumza na Ryan Seacrest, mwimbaji wa ‘Wiggle’ amesema walikuwa na mvutano wa mara kwa mara kutokana na mambo mbalimbali, moja wapo likiwa ni shinikizo la ndoa.
“What happened…in a nutshell, there was a lot of tension in the relationship for a lot of different reasons… There was a lot of pressures of marriage. There was a lot of arguing and stuff like that that just weighed on our relationship over time. When you stop having more good times than bad bad times, it’s time to call it quits. It becomes something that is unhealthy. I’m not one to throw my business out on the street, but I thought it was important because things are getting a little out of hand.”

Aliongeza kuwa tatizo hilo halikuwa upande wake peke yake bali hata kwa Sparks lakini hiyo si sababu peke yake. Pia amekiri kuwa hawakuachana kwa uzuri, lakini hawana matatizo kwasababu hawakauachana vibaya kama couple zingine.
“To be fair, it was not just from her either. It was kind of from everybody. That’s not the sole reason, but it definitely played a part. I’ll be lying if I said that we parted in good terms. But it’s not a bad situation. There’s no bad blood. We didn’t end off on a weird way or a negative way.”

No comments