ads

Breaking News

G-Nako azitaja single mbili atakazoziachia kesho


Gnako InstaMsanii anayetokea Arusha na aliye chini ya kampuni ya Weusi, G- Nako ameongea na Bongo5 na kuzielezea kazi zake mpya atakazoziachia wiki hii.

“Ngoma ya kwanza inaitwa “Mavijanaa” ambayo nimemshirikisha Nick wa pili, producer ni Fundi Samwel,” G ameiambia Bongo5. “Ngoma nyingine nimemshirikisha Barnaba na Lord Eyes producer akiwa Chizan Brain. Hizi ni kazi za kama solo artist lakini zikiwa zinasimamiwa na kampuni ya Weusi na video pia ipo tayari ya Mavijanaa ni muda tu wakupanga itoke lini.”

No comments