ads

Breaking News

Diamond kufanya show ya bure Stuttgart, Ujerumani September 20 kuwafidia mashabiki

Baada ya show ya Diamond Platnumz iliyokuwa ifanyike mjini Stuttgart, Ujerumani kushindwa kufanyika mwishoni mwa mwezi uliopita na kusababisha vurugu kutoka kwa mashabiki waliofika ukumbini kumshuhudia star huyo wa ‘Number 1′, show hiyo inatarajiwa kufanyika September 20, 2014 bila kiingilio.
diamond germany 

 kupitia instagram diamond aliandika  

“YES!!!! STUTTGART GERMANY!!! on this 20th of September 2014… kiukweli nilisikitishwa sana na kilichotokea last time Stuttgart… lakini baada ya kugundua kuwa pia lilikuwa ni kosa la mtu mwingine na si promotter kama nilivyodhani, yaani Brittis Events… ndipo tulipoamua na kuwaletea Burudani hii Mashabiki zetu pendwa wa Stuttgart….hakikisha ufikapo unapendeza zaidi maana kama ujuavyo safari hii Vyombo vyote vya habari ndani na nje ya nchi vitakuwa pale kwa RedCarpet…. kiingilio ni BUREEEEEE!!!… tafadhariwambie na wenzio wa nchi za karibu…#NORWAY #HOLLAND #SWITZLAND #BELGIUM #SWEEDEN na kadharika

No comments