ads

Breaking News

Diamond atajwa kuwania tuzo za MTV Europe, #MTVEMADiamond-600-x-450

Majina ya wasanii wa Afrika watakaowania tuzo za MTV Europe, MTVEMA yametangazwa na Diamond ni miongoni mwa wasanii watakaowania tuzo hizo zitakazotolewa November 9 jijini Glasgow, Scotland. Diamond atachuana na Davido, Toofani wa togo na goldfish wa south africa

No comments